Monday, October 16, 2017

ZAHIRI HERBAL HEALING CENTRE NI NANI

Zahiri HerbalHealing Centre ni kituo kilichoanzishwa mwaka 2014  kwa madhumuni ya  kutoa tiba  wa watu wanaosumbuliwa na matatizo na magojwa mbalimbali.

Kituo chetu kimeshatoa tiba kwa jumla ya watu 223 mpaka sasa ambao walikuwa wanasumbuliwa na matatizo mbalimbali ambao wengi wao walishakata tamaa ya maisha na kupona.

Zahiri Herbal Healing  Centre ni kituo kinachojihusisha  na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia dawa za asili.(MITI SHAMBA)

ZHHC-Tumefanikiwa kutibu watu mbalimbali waliokuwa wakisumbuliwa na magojwa sugu mbalimbali ambao wengiwao walisha kata tamaa ya kupona,Lakini baada ya kupata TIBA kutoka ZHHC wamepona na wanaendelea na maisha yao ya kawaida.

ZHHC-Ni kituo kilichoanzishwa na kusimamiwa na SHARIFF SULEIMANI SHARIFF ambaye ndiye mtabibu mkuu wa kituo hicho.

No comments:

Post a Comment